Connect with us

General News

UDA hatimaye kushirikiana na vyama vingine – Taifa Leo

Published

on

[ad_1]

UDA hatimaye kushirikiana na vyama vingine – Taifa Leo

UDA hatimaye kushirikiana na vyama vingine

Na MWANGI MUIRURI

KATIBU mkuu wa chama cha UDA, Veronica Maina amesema chama hicho kitatangaza mbinu za kushirikiana na vyama vingine katikati ya mwezi Machi.

“Hata tukiangalia mpango wa pamoja wa kumuunga mkono na kuuza manifesto ya Dkt William Ruto kwa wapigaji kura, tunalenga viti vingine vitano vya ugavana, useneta, mwakilishi wa kina mama, ubunge na,” akasema.

[ad_2]

Source link

Comments

comments

Facebook

Trending