Sunday, 8 November 2026
Kenyan Digest

Bodi ya Ligi ya Tanzania imeridhia ombi la Yanga,Kisa kurudi kwa makundi kutoka Zambia

1 min read
Published

Na Mwandishi wetu akiwa Dar Es Salaam, Bodi ya Ligi Kuu Tanzania bara kupitia afisa mtendaji mkuu wake Boniface Wambura imetangaza kukubali ombi la Yanga SC la kusogeza mbele kwa siku moja mchezo wao dhidi ya Polisi Tanzania uliokuwa umepangwa kuchezwa Oktoba 2 uwanja wa Uhuru na sasa utachezwa Oktoba 3 2019. Maamuzi hayo wameyakubali […]