Sunday, 8 November 2026
Kenyan Digest

CAF CL: Yanga yaondolewa na Zesco,Koro amekiri wanarudi kujipanga

1 min read
Published

Na Mwandishi wetu akiwa Dar Es Salaam, Kocha Mkuu wa Yanga SC Mwinyi Zahera baada ya kuondolewa katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika amekiri kuwa kwa sasa wanarudi nyumbani na kikosi chake kujipanga katika michezo ya Ligi Kuu Tanzania bara msimu wa 2019/2020 huku wakisubiri shirikisho la soka Afrika CAF litawapanga na timu gani […]