Sare ya 3-3 ya mchezo wa Ligi Kuu kati ya Polisi Tanzania dhidi ya Yanga SC iliyochezwa katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam, imempa nafasi timu ya Taifa Ditram Nchimbi. Kaimu kocha mkuu wa Taifa Stars Etienne Ndairagije ameamua kumuongeza Nchimbi katika kikosi cha Taifa Stars ikiwa ni siku moja imepita toka mchezaji […]



