Connect with us

General News

Mbunge Moses Kuria aahidi kuasi pombe 2020 ▷ Kenya News

Published

on

[ad_1]

Mbunge wa Gatundu Kusini Moses Kuria ameapa kuwa mwaka huu wa 2020 ni wa mabadiliko na ametaja maazimio kadhaa ikiwemo kugura mitandao ya kijamii

Kupitia mtandao wa Facebook, Kuria alisema pia anaazimia kuepukana na unywaji wa pombe na ajihusishe na masuala yatakayoboresha maisha ya wananchi.

Habari Nyingine: Jamaa aliyekuwa amelewa chakari alazimishwa kunywa mikojo ya wanawake kupata fahamu

” Nawatakieni heri njema 2020, kwa wale wasionitambua vema, nimeamua kujiondoa mitandaoni ila nitasalia kwenye Whatapp pekee, tukutane 2021. Pia nimeamua kuasi pombe kama azimio langu mwaka huu,” Kuria aliandika Facebook.

Habari Nyingine: Miamba wa Bundesliga Bayern Munich, watumia mashabiki wao Wakenya ujumbe wa Mwaka Mpya

Madai ya Kuria kuondoka mitandaoni yaliwashangaza wengi ikizingatiwa kuwa anapenda kujieleza na kuwaasiliana na wananchi kupitia mitandao ya kijamii.

READ ENGLISH VERSION

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia [email protected] au WhatsaApp: 0732482690.

Subscribe to watch new videos



[ad_2]

Source link

Comments

comments

Facebook

Trending