Asubhi ya leo wafanyabiashara wa Toi Market katika eneo la kibra wameweza kuhesabu hasara ambayo imeweza kuwakumbuka, kwa sababu ya moto ambao uliweza kuchoma na kuharibu baadhi ya sehemu za eneo hilo.
Moto huo mkubwa ulianza saa tisa za asubuhi, moto ambao ulisababisha wanabiashara wengi kuachwa bila kazi yeyote kwa maana uliweza kuharibu mali yao.
Adhabu ya kifo ya mwanaume kupunguzwa kwa kifungo cha miaka 20
Kulingana na mkubwa wa AP Enos Maloba wa eneo la kibra moto huo ulianza saa tisa za asubuhi.
“Kiini cha moto huo hakijabainiwa, lakini uchunguzi unaendelea kufanyika ili kubaini chanzo cha kisa hicho.” Aliongea Enos.
Wafanyakazi 19 wa uhusiano na UN walifariki baada ya ajali ya ndege
Kabla ya saa kumi na mbili asubuhi moto huo ulikuwa umeteketeza eneo hilo na kuwa majivu na mali ya millioni kuchomeka na moto huo.
Wazima moto waliweza kusaidia. Toi market ni eneo ambalo wanabiashara huwa wameshikana kwa sana na kuwa bizi.
Wanabiashara waliamka asubuhi kuokota na kukusanya chochote ambacho kilikuwa kimebakia, ni soko ambayo inajulikana sana na wananchi wa Kenya.
‘Be strong mhesh!’ Fans send love to ailing Kibra MP Ken Okoth
Mwaka wa 2014 soko hilo iliweza kukumbwa na kisa hicho na kuchoma sehemu ya eneo hilo polisi walipofanya uchunguzi walisema kuwa uchunguzi umeonyesha kuwa moto huo ulisababishwa na stima.
Uliweza kuchoma sehemu nyingi ambazo wanabiashara hao huwa wanaweka bidhaa zao za kuuza, wanabiashara hao huwa wanauza vyakula na nguo za aina tofauti (Fresh food and second hand clothes).
Soko hiyo ina wanabiashara wengi ambao wanauza sana bidhaa zao.



