Connect with us

General News

Mwanamuziki Kanda Bongo Man amtembelea Rais Yoweri Museveni nyumbani kwake ▷ Kenya News

Published

on

[ad_1]

Mwanamuziki mkongwe Kanda Bongo Man aliwasili nchini Uganda siku mbili zilizopita baada ya kuishi mjini Londoni tangu mwaka wa 1994

Rais Yoweri Museveni alimkaribisha mwanamuziki huyo nyumbani kwake eneo la Kisozi wilaya ya Gomba ambapo pia alieleza jinsi alivyofurahia kukutana naye.

Bongo Man alimpongeza Museveni kwa maendeleo makubwa ambayo amefanya nchini humo na kumtakia heri njema mwaka mpya unapoanza.

“Nimeshangaa sana kuona jinsi nchi ilivyobadilika, kuna maendeleo makubwa sana, barabara, zimejengwa, amani imedumishwa na usalama pia upo kweli kweli, nakupongeza sana kwa kuwajibika kiwango hiki, nakutakia mwaka mpya wenye mafanikio na heri njema,” Kanda Bongo Man alisema.

Kwa upenda wake, Museveni aliahidi kufanya maendeleo zaidi kabla ya kuondoka mamlakani.

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia [email protected] au WhatsaApp: 0732482690.

Subscribe to watch new videos



[ad_2]

Source link

Comments

comments

Facebook

Trending