Sunday, 8 November 2026
Kenyan Digest

Nyota wa Tanzania Kelvin John akiri kufanya mazungumzo na KRC Genk

1 min read
Published

Na Mwandishi wetu akiwa Dar Es Salaam, Mtanzania Kelvin John, 16, ambaye ameonekana kuwa na uwezo mkubwa kiasi cha kujumuisha katika kikosi cha timu ya taifa ya Tanzania ya wakubwa (Taifa Stars) mara kadhaa licha ya kutopata nafasi ya kucheza, sasa ametangaza kuwa anasubiri kufikisha umri wa miaka 18 ili asajiliwe na klabu ya KRC […]