Sunday, 8 November 2026
Kenyan Digest

Shirika la msalaba mwekundu kusema bado watu 19 kuhesabiwa

1 min read
Published

Baada ya shambulizi la kigaigi DusitD2, watu kumi na tisa bado kuhesabiwa baada ya masaa ishirini na nne.

Hii ni baada ya polisi kukamilisha uchunguzi wao katika eneo hilo.

Katika taarifa ya msalaba mwekundu wasema walipokea kesi 94 ya walio potea ilhali walisuluhisha kesi 75 jumatano saa 8;30 asubuhi,

Relief Agency wasema watu 341 wamo katika ushauri kwa sababu ya ushambulizi huo uliofanyika.

“Watu wengi waendelea kupokea ushauri  katika vituo,vituo zitaendelea kupatikana katika chumba cha kuifadhi maiti cha chiromo,”

Timu ya mawasiliano ya msalaba mwekundu walisema.

civilians evacuated from Dusit

Walionusurika wakiendelea kupata matibabu katika hospitali mbalimbali wakala wasema wananchi wanaeza enda kutoa damu kwa vituoambavyo viko karibu

“Wananchi wanaimizwa kwenda kutoa damu katika vituo damu,”Msalaba mwekundu walisema kwa kauli.

Red cross evacuate employees at dusit complex

Mkuu wa polisi Joseph Boinnet Jumatano akitoa hotuba kwa nchi alisema shambulio hilo lilisababisha vifo vya watu 21, wakenya 6, britoni1, mwamerika mmoja na wengine watatuwa Afrika asili wasiojulikananchi zao.

Mwanaume wa australia aliyesafiri kwa mara ya kwanza nchini kenya ili kupatana na mpenziwe hakuweza kumuona kwa sababu mpenziwe alikuwa miongoni mwa waliofariki;

“Washukiwa wawili walio husika katika shambulizi hilo wameshikwa na wamo mikononi mwa polisi na tuko na sababu  waliwezesha shambulio hilo na watawasaidia polisi kwa uchunguzi zaidi,”alisema Boinnet

security at dusit