Sunday, 8 November 2026
Kenyan Digest

Stori ya mchezaji bora na kocha bora wa mwezi

1 min read
Published

Mshambuliaji wa timu ya Simba ya Dar es Salaam, Miraji Athumani amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa mwezi Septemba wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) msimu wa 2019/20, huku Patrick Aussems pia wa Simba akichaguliwa Kocha Bora wa mwezi huo. Miraji na Aussems walitwaa tuzo hiyo baada ya kuwashinda wenzao walioingia nao fainali katika […]