Connect with us

General News

Wizara ya Afya yantangaza maambukizi 247 mapya ya coronavirus

Published

on

[ad_1]

Wizara ya Afya mnamo Ijumaa, Julai 3 ilithibitisha visa vingine 247 vya coronavirus nchini na kufikisha idadi ya wagonjwa nchini kufikia 7, 188.

Visa hivyo vipya vilirekodiwa baada ya sampuli 4,147 kupimwa katika saa ishirini na nne zilizopita na kufikisha idadi ya sampuli zilizopimwa kufika 180, 206.

Habari Nyingine:

Kati ya wagonjwa waliothoibitishwa 242 ni Wakenya na watano ni raia wa kigeni. Wagonjwa 164 wapya ni wanaume na 83 ni wanawake.

Mgonjwa wa umri wa chini zaidi ana mwaka mmoja na yule wa mkongwe ana miaka 100.

Wakati uo huo, wagonjwa 39 walitangazwa kupona na kuondoka hospitalini na kufukisha idadi ya waliopata nafuu kufika 2, 148 huku iadadi ya waliongamizwa na homa hiyo ikifika 154 baada ya vifo vingine viwili kuripotiwa.

Kaunti ya Nairobi inaongoza kwa visa 153 ikifuatwa na Mombasa Mombasa (53) Busia (12) Kiambu (12) Kajiado (15) Migori( 9) Uasin Gishu ( 4) Machakos ( 4) Garissa (4) Murang’a (2) Siaya (2) Lamu (1) and Nyamira (1).



[ad_2]

Source link

Comments

comments

Facebook

Trending