Waziri wa Afya Kagwe awali akiwahutubia waandishi wa habari. Picha: Bebeto Ogutu/TUKO.co.ke. Source: Original
“Idadi ya watu 80 wa familia moja wametambulika na kuagizwa kuingia karantini chini ya uangalizi wa maafisa na wahudumu wa afya,” afisa wa afya wa kaunti hiyo Joseph Sitonik alisema.
Sitonik alithibitisha kwamba jamaa huyo alikuwa akifanya kazi katika kampuni ya Unilever Tea na alitengwa katika kituo cha afyta cha kampuni hiyo kaunti ya Kericho.