Mbunge wa Gatundu Kusini, Moses Kuria siku ya Jumatano, Juni 17, alimshambulia Mwakilishi wa Wanawake Kaunti ya Laikipia, Cate Waruguru, baada yake kugura kambi ya Tanga Tanga.
Kuria, kupitia Facebook, alidai kuwa Waruguru alimgeuka Naibu Rais William Ruto baada ya kuenda nje ya ndoa na kutema mume wake.