Connect with us

General News

Wagonjwa 389 zaidi waripotiwa kuambukizwa virusi vya corona.

Published

on

[ad_1]

Watu 389 wamethibitishwa kuambukizwa cirusi vya corona katika saa 24 zilizopita na kufikisha idadi ya wagonjwa Kenya 12, 062.

Akitoa takwimu hizo akiwa Murang’a Ijumaa, Julai 17, Waziri wa Afya Mutahi Kagwe alitangaza kuwa sampuli 3, 545 zilipimwa katika saa 24 zilizopita na kufikisha idadi ya sampuli zilizochunguzwa kugonga 233, 641.

Kati ya wagonjwa wapya 389 walioripotiwa, 260 ni wanaume na 129 wakiwa wanawake huku mdogo zaidi aliyeambukizwa akiwa na miezi mitano naye mwenye umri wa juu akiwa na miaka 95.



[ad_2]

Source link

Comments

comments

Trending