Connect with us

General News

Boga sasa abadili mgombea mwenza – Taifa Leo

Published

on

[ad_1]

Boga sasa abadili mgombea mwenza – Taifa Leo

Boga sasa abadili mgombea mwenza

NA SIAGO CECE

SASA ni rasmi kuwa katibu wa idara ya serikali ya urekebishaji tabia, Bi Safina Kwekwe, hatakuwa mgombea mwenza wa aliyekuwa katibu wa kilimo, Prof Hamadi Boga (pichani), katika uchaguzi wa ugavana Kwale.

Prof Boga alimteua Bw Nurrein Mwatsahu badala yake.

Duru zilisema Bi Kwekwe alijiuzulu serikalini lakini barua yake haikuidhinishwa.

Hatua hii imeweka taabani kaulimbiu ya ‘BogaSafi’ inayosemekana ilitokana na majina ya Boga na Safina.

[ad_2]

Source link

Comments

comments

Trending