[ad_1]
Afisa mmoja wa polisi amefumaniwa akifanya mapenzi na mgonjwa wa coronavirus kaunti ya Busia.
TUKO.co.ke imefahamishwa kuwa afisa huyo alikuwa akishika doria kwenye karantini wakati ambapo alizidiwa na jazba na kushiriki kitendo hicho.
Habari Nyingine: Maabara ya Lancet taabani kwa kutoa matokeo tata ya Covid-19
Afisa wa polisi alipatika akifanya mapenzi na mgonjwa wa coronavirus. Picha: Radio Citizen
Source: Facebook
Inadaiwa aliweka njama ya kuwafukuza wagonjwa wengine ili abaki na dada aliyekuwa akimm,ezea mate.
Muda si muda alipatwa kwenye ufuska na kukamatwa ambapo ripoti imesema atakabiliwa kisheria na pia kuwekwa karantini
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia [email protected] au WhatsaApp: 0732482690.
Subscribe to watch new videos
[ad_2]
Source link