[ad_1] Na LEONARD ONYANGO MVUTANO unaoendelea ndani ya ODM huenda ukamfanya kinara wa chama hicho Raila Odinga kukosa makali iwapo ataamua kuwania urais katika Uchaguzi Mkuu...
[ad_1] Na SAMMY WAWERU KWENYE nyumba ya Dickson Muceri yenye ukubwa wa mita 8 kwa 10, eneo la Fountain Junior katika mtaa wa Githurai 45, kiungani...
[ad_1] Na SAMMY WAWERU KENYA ilipokumbwa na ugonjwa wa Covid-19, mamia, maelfu na mamilioni ya wananchi walipoteza nafasi za ajira. Kulingana na takwimu za serikali, zaidi...
[ad_1] Na SAMMY WAWERU PAXSON Mwangi amekuwa katika sekta ya sanaa, uchoraji, kwa zaidi ya miaka mitatu. Hata ingawa alitambua kujaaliwa kipaji cha uchoraji akiwa mdogo...
[ad_1] Na KALUME KAZUNGU SERIKALI imetangaza tarehe mpya ya kufunguliwa kwa bandari ya Lamu (Lapsset) iliyoko eneo la Kililana. Akizungumza wakati wa ziara ya kukagua ujenzi...
[ad_1] Na SAMMY WAWERU KWA muda mrefu miundo misingi kama vile barabara katika mtaa wa Githurai 45 viungani mwa jiji la Nairobi imekuwa kikwazo kutokana na...
[ad_1] Na MERCY MWENDE CHANGAMOTO za ulipaji wa mikopo na migogoro ya wanachama imechangia pakubwa kufeli kwa vyama vingi vya kilimo na ufugaji mashinani. Lakini kwa...
[ad_1] Na KALUME KAZUNGU WANAOENDELEZA ujenzi wa majumba na miradi mingine kwenye ardhi za ufuo, Kaunti ya Lamu wameamriwa kukoma na kuhama mara moja. Kumeshuhudiwa ongezeko...
[ad_1] Na TITUS OMINDE HUKU wanafunzi wakijandaa kwa ufunguzi wa shule mnamo Mei 10, hali duni ya miundo msingi katika shule ya msingi ya Panpaper katika...
[ad_1] Na BENSON MATHEKA SIASA za urithi kuhusu uchaguzi mkuu wa 2022 zinapozungumziwa, ni vigogo kama vile Raila Odinga, William Ruto, Kalonzo Musyoka, Musalia Mudavadi, Moses...