[ad_1] Ruto aenda kinyume na ahadi ya mahasla ONYANGO K’ONYANGO NA CHARLES WASONGA NAIBU Rais William Ruto ameonekana kuwachezea shere mahasla kwa kuahidi kuwapa nyadhifa serikalini...
[ad_1] Nassir na Omar walenga wawaniaji wenza wa kike NA WINNIE ATIENO MBUNGE wa Mvita, Bw Abdulswamad Nassir, na aliyekuwa seneta wa Mombasa, Bw Hassan Omar,...
[ad_1] Wapwani washauriwa wakome kubagua wanaougua Ukimwi NA MAUREEN ONGALA WATAALAMU wa kiafya wametaka jamii za eneo la Pwani kukomesha unyanyapaa dhidi ya watu walioambukizwa virusi...
[ad_1] IEBC yasitisha usajili wa wapigakura wapya kuanzia Mei 4, 2022 hadi Machi 13, 2023 NA CHARLES WASONGA TUME Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) itasimamisha...
[ad_1] Polisi wakubaliwa kuvunja makazi ya Mchina NA RICHARD MUNGUTI HAKIMU mwandamizi Philip Mutua amewaruhusu Polisi wavunje na waingie katika nyumba ya raia wa Uchina anayedaiwa...
[ad_1] Arsenal wakomoa West Ham United ugenini na kurejea nne-bora EPL Na MASHIRIKA ARSENAL walipepeta West Ham United 2-1 uwanjani London Stadium mnamo Jumapili na kurejea...
[ad_1] Kiganjo Kings inalenga kupanda ngazi msimu huu NA JOHN KIMWERE LICHA ya kuwa Kiganjo Kings FC inapitia changamoto nyingi za kifedha, ni miongoni mwa vikosi...
[ad_1] MWALIMU WA WIKI: Mwalimu mahiri na mshairi stadi NA CHRIS ADUNGO UALIMU ni zaidi ya kazi! Kigezo cha kupimia upevu wa mwalimu ni upana wa...
[ad_1] Uhuru na Ruto walimana kuhusu shida za Wakenya NA CHARLES WASONGA RAIS Uhuru Kenyatta na naibu wake, William Ruto walilaumiana Jumapili kuhusu kilichosababisha tofauti kati...
[ad_1] WANDERI KAMAU: ‘Deni’ ametuacha nalo Kibaki kwa kutoandika wasifu wa maisha yake NA WANDERI KAMAU MOJA ya sababu kuu ambazo zimeyapa uhai matukio yaliyofanyika karne...