Connect with us

General News

Biashara zaathirika katika kaunti fujo zinahofiwa kutokea – Taifa Leo

Published

on

[ad_1]

Biashara zaathirika katika kaunti fujo zinahofiwa kutokea – Taifa Leo

Biashara zaathirika katika kaunti fujo zinahofiwa kutokea

NA BARNABAS BII

BIASHARA katika kaunti zinazohofiwa vurugu zitatokea wakati na baada ya uchaguzi wa Agosti 9, 2022 zimeathirika pakubwa.

Katika kaunti hizi wafanya biashara wamepunguza kiwango cha bidhaa wanazoekeza.

Hatua hizi zimechukuliwa licha ya hakikisho kutoka kwa makundi ya usalama kwamba kampeni zitakuwa za amani.

Tume ya uwiano na utangamano (NCIC) imeorodhesha kaunti za Uasin Gishu, Nakuru, Kericho, Nairobi na Mombasa kuwa maeneo ambapo vurugu zaweza kuchipuka huku tarehe ya uchaguzi mkuu ikikaribia.

Baadhi ya kaunti zimeanza kushuhudia mapungufu katika biashara zilizokuwa zimeshamiri.

[ad_2]

Source link

Comments

comments

Trending