Connect with us

General News

Himizo wafuasi wa ODM wajiandikishe kushiriki mchujo – Taifa Leo

Published

on

[ad_1]

Himizo wafuasi wa ODM wajiandikishe kushiriki mchujo – Taifa Leo

Himizo wafuasi wa ODM wajiandikishe kushiriki mchujo

Na GEORGE ODIWUOR

ALIYEKUWA Gavana wa Nairobi Evans Kidero (pichani), amewahimiza wakazi wa Homa Bay kujiandikisha kwa wingi kuwa wanachama wa ODM ili wakubaliwe kushiriki katika kura za mchujo za chama hicho Aprili.

Dkt Kidero ambaye alikuwa akiendesha kampeni za kutoa uhamasisho kuhusu uchaguzi, alisema katika miaka ya nyuma wananchi wamekuwa wakikangayikiwa wasijue la kufanya wakati wa kupiga kura.

[ad_2]

Source link

Comments

comments

Facebook

Trending