Jamaa apatika ameaga dunia ndani ya gari Source: Depositphotos
Hata hivyo, walishindwa kumsaidia kwa kuwa hakuwa na maski na walihofia huenda alikuwa akiugua COVID-19 jinsi K24 Digital ilivyoripoti.
“Polisi walipofika eneo alilokuwa baada ya dakika 30 walimkuta tayari amekata roho,” mkazi mwingine alisema.
Inasemekana marehemu alionekana akielekea upande wa Vihiga kutoka Kakamega na alipofika katika soko hilo aliliegesha gari hilo majira ya saa kumi unusu jioni na wala hakusonga tena.
Ripoti zilisema jamaa huyo alipatikana ameaga dunia nje ya kliniki baada ya kushinda hapo usiku kutwa mabawabu walipokataa kumfungulia lango wakidhani alikuwa mlevi.
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia [email protected] au WhatsaApp: 0732482690.