Aliyekuwa mkuu wa usalama katika afisi ya DP Ruto Kipyegon Kenei. Picha: Kenei Source: Facebook
Kwenye sakata hiyo, Echesa alidaiwa kuwahadaa wawekezaji kutoka ughaibuni kuwa anaweza kuwasaidia kupata tenda ya kuwasilisha silaha kwa idara ya jeshi.
Kanda za video zilizotolewa na Echesa zilionyesha akizuru jumba la Harambee ambapo afisi ya DP Ruto huwa.
Ni sakata ambayo mkuu wa DCI George Kinoti alisema ilisababisha kuuawa kwa aliyekuwa afisa wa usalama katika afisi ya DP Kipyegon Kenei.
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia [email protected] au WhatsaApp: 0732482690.