Picha ya mhudumu wa boda akiwa amembeba mteja. Picha: UGC. Source: UGC
Siku ya kioja, demu alisikika akimkaripia jamaa kwa kukataa kwenda naye kuwatembelea wazazi.
“Kwa nini hupendi kwenda kuwatembelea wazazi wangu au walikukosea? Kama umekataa kwenda kuwatembelea nitajipeleka mwenyewe. Naomba unipatie nauli,” mama alimwambia jamaa.