Connect with us

General News

Mbunge akosoa vikali hatua ya chama kwa kujiunga na Ruto – Taifa Leo

Published

on

[ad_1]

Mbunge akosoa vikali hatua ya chama kwa kujiunga na Ruto – Taifa Leo

Mbunge akosoa vikali hatua ya chama kwa kujiunga na Ruto

NA LUCY MKANYIKA

MBUNGE wa Mwatate, Bw Andrew Mwadime, amekashifu Chama cha Communist (CPK) kwa kujiunga na Naibu Rais William Ruto.

Mbunge huyo aliondoka CPK dakika za mwisho na kuwa mgombeaji huru wa ugavana Taita Taveta.

Alisema walikuwa wamekubaliana chama hicho kisingeingia katika muungano wowote.

Hata hivyo, hakufafanua kama atamuunga mkono kinara wa ODM, Bw Raila Odinga kuwania urais.

[ad_2]

Source link

Comments

comments

Facebook

Trending