Connect with us

General News

Mkuu wa shule wanafunzi walishambuliwa na magaidi kukamatwa – Taifa Leo

Published

on

[ad_1]

Mkuu wa shule wanafunzi walishambuliwa na magaidi kukamatwa – Taifa Leo

Mkuu wa shule wanafunzi walishambuliwa na magaidi kukamatwa

Na WANGU KANURI

WAZIRI wa Usalama wa Ndani, Dkt Fred Matiang’i ameamuru mwalimu mkuu wa Shule ya Upili ya Tot atiwe mbaroni. Hii ni baada ya magaidi kuwashambulia wanafunzi 15 na walimu wawili wa shule hiyo Kerio Valley.

Kwenye ujumbe wake, Dkt Matiangi alisema shule hiyo ilienda kinyume na sera za serikali ambazo hukataza basi za shule kuwa barabarani baada ya saa 6:30 jioni.

“Magaidi hao walishambulia pahala pawili jana usiku. Nimezungumza na Inspekta Jenerali wa polisi asubuhi na sharti mwalimu huyo mkuu atatiwa mbaroni na kushtakiwa kwa kuvunja sheria,” akasema.

Wanafunzi hao na walimu walikuwa barabarani saa nne Alhamisi usiku huku mkuu wa polisi Patrick Lumumba katika kaunti ya Elgeyo Marakwet akithibitisha kisa hicho.

[ad_2]

Source link

Comments

comments

Facebook

Trending