Connect with us

General News

Muigizaji wa kipindi cha Papa Shirandula aripotiwa kufariki dunia

Published

on

[ad_1]

Muigizaji maarufu humu nchini Charles Bukeko amefariki dunia.

TUKO.co.ke imepata habari kuwa muigizaji huyo alifariki katika hospitali ya Karen jijini Nairobi.

Habari Nyingine: Afisa wa polisi anaswa ‘live’ akifanya mapenzi na mgonjwa wa Covid-19

Hivi Punde: Muigizaji Papa Shirandula afariki dunia

Muigizaji Papa Shirandula alifariki dunia Jumamosi, Julai 18. Picha: Nation
Source: Facebook

Kulingana na jamaa wa familia, Bukeko alifariki Jumamosi, Julai 18 asubuhi kwenye eneo la kuegeshea magari hospitalini humo alipozirai na kufariki.

Duru zimeongeza kuwa alifika katika hospitali hiyo Jumatatu, Julai 13 lakini Jumamosi ndipo alipatwa na matatizo ya kupumua vizuri.

Mengi kufuata . . .



[ad_2]

Source link

Comments

comments

Facebook

Trending