[ad_1]
Mwanafunzi bora Pwani akamia uanafamasia
NA WINNIE ATIENO
SHULE ya upili ya Sheikh Khalifa Bin Zayed Al-Nahyan iliendelea kufanya vyema kwenye mtihani wa KCSE, baada ya kuwa na mwanafunzi bora eneo la Pwani.
Elyas Iqra Ahmed 19 alipata A ya alama 83.
“Nimefurahi sana kusikia kuwa nimeongoza kwenye matokeo ya KCSE eneo la Pwani. Lakini halikunishtua sababu nimekuwa nikimcha Mungu, na kutia bidii masomoni,” alisema.
[ad_2]
Source link