Familia pamoja na marafiki wa karibu wanaoishi Marekani wameanzisha mchango wa kugharamia kusafirishwa kwa mwili hadi humu nchini.
” Natumai mko salama, tunasikitika kuwatangazieni kifo cha ghafla cha Edith Nyasuguta Mochama aliyetambulika na wengi kama Nyasuu, kulingana na taarifa ya polisi, Nyasuu aligonjwa na kukwama ndani ya lori kwa dakika kadhaa kabla ya maafisa wa afya kumuokoa na kumkimbiza hospitalini, ingawa uchunguzi bado unaendelea, sisi kama familia tumeanza shughuli za kuchanga pesa zitakazo gharamia kusafirishwa kwa mwili wake hadi Kenya,” Mmoja wa famila alisema.
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia [email protected] au WhatsaApp: 0732482690.