Connect with us

General News

Picha za kupendeza za mtoto mchanga wa Size 8, Muraya Juniour

Published

on

[ad_1]

– Wakati watu wanazungumzia baraka, basi Size 8 na mume wake DJ Mo pia wana la kushuhudia

– Size 8 hakuwa na wakati rahisi na uja uzito wa Muraya Junior kwani ulikaribia kuangamiza maisha yake

-Mama huyo wa watoto wawili hujivunia kila mara malaika wake huku akimshukuru mungu kwa baraka zake

Size 8 na mume wake DJ Mo wana cha mno cha kusherehekea kuhusu kuzaliwa kwa mtoto wao wa pili.

Mtoto huyo wa kiume kwa jina Muraya Junior alizaliwa mnamo Novemba 2019, na kuleta bashasha katika familia hiyo changa.

Habari Nyingine: Kiranja wa zamani wa Harambee Stars Musa Otieno apatwa na COVID-19

1. Size 8 na DJ Mo wanajivunia kuwa wazazi wa, Ladashabelle Wambui n Muraya Junior.

Msanii

Muraya Junior alizaliwa mnamo Novemba 2019, na kuleta bashasha katika familia hiyo changa.Picha:Muraya Junior.
Source: Instagram

Habari Nyingine: Hisia za kutamausha zashamiri mitandaoni baada ya DJ Evolve kusimulia yaliyomfika

2. Mimba ya mtoto huyo haikuwa rahisi kwake Size 8 kwani alishinda hospitali kila mara.

3. DJ Mo na Size 8 humtaja malaika huyo kama mtoto wa miujiza kwani alikujia wakati hawakuwa wanatarajia.



[ad_2]

Source link

Comments

comments

Facebook

Trending