Connect with us

General News

TSC kuwatuza walimu wachapakazi – Taifa Leo

Published

on

[ad_1]

TSC kuwatuza walimu wachapakazi – Taifa Leo

TSC kuwatuza walimu wachapakazi

NA WINNIE ONYANDO

WIZARA ya Elimu itazindua tuzo kuwatambua walimu wanaotia bidii na kuhakikisha wanafunzi wanapata matokeo bora.

Afisa Mkuu Mtendaji wa TSC, Nancy Macharia, alisema kuwa Rais Uhuru Kenyatta amekubali pendekezo lao la kuwapa zawadi walimu wanaofanya bidii kupitia tuzo za Mwalimu Award.