Connect with us

Entertainment

‘Ulikuwa unawakunywa bila straw!’ fans react to photo of Willis Raburu before fame

Published

on

[ad_1]

Willis Raburu

Citizen TV’s 10Over10 presenter Willis Raburu shared a photo from back in the day while still in the campus and he has really transformed over the years

Raburu was so skinny compared to now.

Wilis Raburu
Wilis Raburu and former collegemates at Moi University

Also read;

Fans of Raburu photo above.

m.u.s.t.ie Kwani ulifanya engineering😂

officiallawi 😂huyo Ni wewe unakaa mtumishi

chief_danmcio Kumbe hujaanza kuvaa koti oversize jana

jamesmbuguzz 😂😂 Willis mrefu kama twiga😂😂 mayengs kwa wingi😂😂😂

prince_jonnie2.5.4 Hapa hukuwa unajua chakula ni nini😂😂

liciashane Eish Willis you same lakini hapo ulikuwa unakaa mtu innocent hata hauwezi piga nduru zenye we hupiga 10over10 buh you good👏

frankyromain Ulikua mtu wa CU

brendarayray Watu hutoka mbali

Also read;

jamesmbuguzz 😂😂 Willis mrefu kama twiga😂😂 mayengs kwa wingi😂

liciashane Eish Willis you same lakini hapo ulikuwa unakaa mtu innocent hata hauwezi piga nduru zenye we hupiga 10over10 buh you good👏

prince_jonnie Hapa hukuwa unajua chakula ni nini😂

honananda Ulimezea wapi mwili extra 😂 😂 😂 🙌tbt it’s real

kamauthechef 😂 😂 😂 Ulikua unawakunywa tu bila straw😂

festus @willisraburu unakaa nika haukua umekula hapo, , , kumbe luku ulianza kuipinga kitamboo

eugeenvems Halafu what went wrong or good Willis?

elizabethlizma 🤣🤣🤣🤣 gaiii!! Kitambi ulitoa wapi

cjatemo This was the Christian Union Board 🤣🤣🤣

obotekevinonyango Sai unakula na vipofu tuu

chiefokuzo Unakaa choir master 😂😂😂

Also read;

[ad_2]

Source link

Comments

comments

Trending