Kufikia sasa Kenya imerekodi visa 10, 294 kwa jumla.
Kufikia sasa Kenya imerekodi visa 10, 294 kwa jumla. Source: Facebook
Wagonjwa waliofariki kutokana na virusi hivyo ni wa kutoka kaunti ya Nairobi, watatu walifariki wakiwa nyumbani na wengine tisa wakiwa katika hospitali tofauti.
” Kati ya sampo 1,205 zilizofanyiwa vipimo, watu 189 wamepatikana na virusi vya COVID-19 na kufanya idadi ya walioambukizwa kufikia 10, 294 kwa jumla. Muathiriwa mchanga zaidi yuko na miaka mitano na mzee yuko na miaka 71,” Kagwe alisema.