Connect with us

General News

Zindzi Mandela, bintiye Nelson Mandela, aaga dunia na miaka 59.

Published

on

[ad_1]

Zindzi Mandela, binti ya marehemu shujaa, Nelson Mandela ameaga dunia.

Zindzi, mwenye miaka 59, alihusika katika vita vya kupigania uhuru nchini Afrika Kusini.

Mama yake, Winnie Mandela ambaye pia ni marehemu aliwacha historia ya kuambana kumaliza ubaguzi wa rangi nchini humo.

Habari Nyingine: Wabunge 2 wa Madagascar waangamizwa na coronavirus licha ya kuzindua ‘tiba’

Habari Nyingine: Rais Trump avalia maski kwa mara ya kwanza tangu kuzuka kwa COVID-19

Kabla ya kifo chake, Zindzi alihudumu kama balozi wa Afrika Kusini nchini Denmark.

mengi kufuata…..



[ad_2]

Source link

Comments

comments

Trending