1. TUKO.co.ke imekusanyia picha za kuhuzunisha kutoka kwa hafla hiyo ambayo ilianza kwa mwili wake kupokelewa kutoka makafani ya Chiromo kabla ya kusafirishwa katika kaunti ya Machakos
Mwili wa Kasee watolewa Choromo. Picha: Alande. Source: Original
2. Baadhi ya wasanii akiwemo Churchill na Mchungaji, Mtumishi ambao walihudhuria hafla hiyo.
Churchil alikuwepo. Picha: Alande. Source: Original
3. Picha inayoonyesha baadhi ya waombolezaji ambao walijitokeza kutoa heshima zao za mwisho licha ya masharti makali ya janga la COVID-19.
Waombolezaji. Picha: Alaande. Source: Original
4.Mtumishi wa Mungu akiongoza ibada ya wafu nyumbani kwao kijijini ambapo marehemu alizikwa.
Mtumishi wa Mungu akiongoza ibada. Picha: Alande. Source: Original
5. Mchekeshaji nguli Churchill Ndambuki akitoa heshima zake za mwisho.
Churchil akitoa heshima zake za mwisho. Picha: Alande. Source: Original
6. Hali ya huzuni yaonekana nyusoni mwa waombolezaji wote licha ya kuvalia maski.
Hali ya huzuni. Picha: Alande. Source: Original
7. Baadhi ya wasanii wakiwa wamebeba jeneza lake kuelekea alipozikwa.
Wachekeshaji waliobeba jeneza lake. Picha: Alande. Source: Original
8.Mtumishi akiongoza maombi ya mwisho kabla ya marehemu kupumzishwa.
Maombi ya mwisho. Picha: Alande. Source: Original
9.Mwishowe jeneza la marehemu Kasee lawekwa kaburini.
Kasee apumzishwa mahali pake. Picha: Alande. Source: UGC