Connect with us

General News

Wandani wa DP Ruto na Gideon Moi watofautiana vikali mazishini.

Published

on

[ad_1]

Wabunge wanaomuegemea Naibu Rais William Ruto na Seneta wa Baringo, Gideon Moi walitofautiana vikali wakati wa hafla ya mazishi siku ya Jumamosi, Julai 11, kuhusu mabadiliko katika uongozi Bungeni.

Mbunge wa Baringo Kaskazini, William Cheptumo na mwenzake wa Tiaty, William Kamket walitofautiana vikali kuhusu mageuzi hayo wakati wa hafla ya mazishi ya Isaac Cherogony, ambaye alikuwa mume wa Mwakilishi wa Wanawake Baringo, Gladwell Cheruiyot.

Habari Nyingine:

Habari Nyinigne:



[ad_2]

Source link

Comments

comments

Trending