Daktari wa kwanza nchini Kenya aliyefariki duniani kutokana na ugonjwa hatari wa corona amezikwa nyumbani kwake kaunti ya Bungoma hii leo Jumatatu, Julai 13
Hafla yake ya mazishi ilihudhuriwa na waombolezaji wachache ikiwa ni moja wapo wa masharti yaliowekwa na wizara ya afya ili kuzuia kusambaa kwa virusi vya COVID- 19.
Lugaliki ni miongoni mwa ziadi ya madaktari 250 ambao walikutwa na virusi vya corona tangu kisa cha kwanza kiliporipotiwa nchini mwezi Machi. Source: Original
” Kwa kweli mmoja wa madaktari wetu amelazwa katika chumba cha wagonjwa mahututi baada ya kupatikana na virusi vya COVID-19,” Ripoti ya chama cha madaktari ilisoma awali.
Lugaliki alifariki dunia akiwa na umri wa miaka 38.
Dkt. Lugaliki aliyefariki kutokana na COVID- 19 azikwa Source: Original
Lugaliki alifariki dunia akiwa na umri wa miaka 38.Picha: Davis Bwayo/ TUKO.co.ke Source: Original
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia [email protected] au WhatsaApp: 0732482690.