Hafla hiyo iliandaliwa chini ya ulinzi mkali wa maafisa wa polisi ambao walihakikisha kuwa sheria za kukabili virusi vya corona zinazingatiwa.
Shirandula alizikwa na maafisa kutoka Wizara ya Afya. Picha:CitizenTV. Source: UGC
Miongoni mwa wale ambao walihudhuria karamu hiyo fupi ni akiwemo Jacky Nyaminde, almaarafu kama Wilbroda, ambaye ni mmoja wa waigizaji katika kipindi cha Papa Shirandula.
Wilbroda alimuomboleza marehemu kama mtu mkarimu na mwenye upendo ambaye kando na kuwa mwelekezi wake na jirani, alisaidia katika kukuza vipaji vya wasanii wengi chipukizi.
Waombolezaji waliohudhuria mazishi ya Papa Shirandula.Picha: CitizenTV. Source: UGC
Baba yake Papa Shirandula, Cosmas Bukeko.Picha:CitizenTV. Source: UGC