Kuna vida wasee wana share unaweza mkemba morio anachota waba ya sewee kwa mitungi za 20 litre na kuzi load kwa mkoko na kuzindonyo kama wabling iko bien.
Kwa twittment @RoadAlertsKE ndio alichachisha hio vida, na wasee wanadai hio mtaa ni Umo phase 3 karibu na Benrose.
Last week Nairobi Water walidai kutakua na shortage ya wabling juu ya mvua mob kudestroy ma pipes, na pia juu ya mabaro zinajengwa.
Mtaani wasee hubuy waba kwa wasee wanabebesha kwa mikoko.
Mitaa ziko affected sana ni za eastlando kama Oyole, Umo, Easich, Pipu, na Emba.
