[ad_1]
Helikopta kutumika Mama Lucy mwakani kutoa huduma- NMS
Na COLLINS OMULO
HOSPITALI ya Mama Lucy Kibaki kuanzia mwaka ujao itakuwa na huduma zitakazotekelezwa kwa kutumia helikopta.
Huduma hizo ambazo zitakuwa za kwanza katika hospitali ya umma, zitawezesha usafirishaji wa wagonjwa wanaohitaji huduma za dharura.
Mkurugenzi wa Huduma za Jiji la Nairobi (NMS), Luteni Jenerali Mohamed Badi, alisema hayo jana hospitali hiyo ilipoadhimisha miaka 10 tangu ilipoanzishwa.
[ad_2]
Source link