Connect with us

General News

Nyaribo ajiunga na UPA baada ya kutema Mudavadi – Taifa Leo

Published

on

[ad_1]

Nyaribo ajiunga na UPA baada ya kutema Mudavadi – Taifa Leo

Nyaribo ajiunga na UPA baada ya kutema Mudavadi

Na RUTH MBULA

CHAMA kipya cha United Progressive Alliance (UPA), kimeanza kujivumisha na kudhamini wawaniaji wa viti tofauti katika kaunti za Kisii, Nyamira na maeneo mengine nchini.

Gavana wa Nyamira, Bw Amos Nyaribo tayari amejiunga na chama hicho na kutangaza kwamba atakitumia kutetea kiti chake.

Chama hicho kinashirikiana Muungano wa Azimio la Umoja linaloongozwa na kiongozi wa ODM Raila Odinga.

[ad_2]

Source link

Comments

comments

Facebook

Trending