Connect with us

General News

Linturi aishtaki Serikali kufuatia kukamatwa kwake – Taifa Leo

Published

on

[ad_1]

Linturi aishtaki Serikali kufuatia kukamatwa kwake – Taifa Leo

Linturi aishtaki Serikali kufuatia kukamatwa kwake

NA JOSEPH OPENDA

MAHAKAMA ya Nakuru imemruhusu Seneta wa Meru, Mithika Linturi, kuishtaki serikali kwa uharibifu uliofuatia kukamatwa kwake kutokana na matamshi ya “madoadoa”.

Mahakama ilimpa Bw Linturi ruhusa ya kuishtaki serikali, baada ya Hakimu Mkuu Mahakama ya Nakuru Bi Edna Nyaloti, kubatilisha uamuzi wa kumshtaki seneta huyo kwa madai ya uchochezi.