Connect with us

General News

Naibu Gavana ashauri vijana kuhusu mafunzo – Taifa Leo

Published

on

[ad_1]

Naibu Gavana ashauri vijana kuhusu mafunzo – Taifa Leo

Naibu Gavana ashauri vijana kuhusu mafunzo

NA KALUME KAZUNGU

VIJANA Kaunti ya Lamu wameshauriwa kutumia fursa ya elimu ya bure ya vyuo anuwai, ili kusomea taaluma mbalimbali za kuwawezesha kujiendeleza kimaisha.

Naibu Gavana, Abdulhakim Aboud alisema serikali ya kaunti ya Lamu imejitolea vilivyo kuwezesha vijana kuajiriwa katika miradi mbalimbali iliyoanzishwa eneo hilo kama vile bandarini.

Waziri wa Elimu, Vijana na Michezo katika kaunti, Bw Paul Thairu alisema wanafunzi zaidi ya 2,000 wamenufaika na ufadhili wa kimasomo unaotolewa na serikali hiyo ya kaunti.

[ad_2]

Source link

Comments

comments

Facebook

Trending