[ad_1] Kipchoge, Kosgei wajitosa Tokyo Marathon Na GEOFFREY ANENE Washikilizi wa rekodi za dunia mbio za kilomita 42 Eliud Kipchoge (saa 2:01:39) na Brigid Kosgei (2:14:04)...
[ad_1] Huduma zadorora katika hospitali za umma NA WAANDISHI WETU MAELFU ya wagonjwa katika hospitali za umma nchini wanateseka kutokana na huduma duni, kukosa dawa na...
[ad_1] Wakuzaji kahawa wajipatia soko Korea Kusini NA VITALIS KIMUTAI BAADA ya wakulima wa kahawa Kaunti ya Kericho kuuza tani 134.4 za kahawa moja kwa moja...
[ad_1] EACC yaagiza madiwani kurudisha pesa ‘walizopora’ Mombasa NA GEORGE ODIWUOR TUME ya Maadili na Kupambana na Ufisadi (EACC) imewaa – giza madiwani katika Bunge la...
[ad_1] Mjane ashinda mzozo wa urithi miaka 8 baadaye NA BRIAN OCHARO MJANE na watoto wake wawili ambao walikuwa wamefungiwa nje ya urithi wa mali ya...
[ad_1] DRC yachemkia Ruto NA CHARLES WASONGA NAIBU Rais William Ruto ameshambuliwa vikali na viongozi na raia wa Jamhuri ya Kidemocrasia ya Congo (DRC) kutokana na...
[ad_1] Wekeni akiba muachane na hongo, Matiang’i aambia polisi NA WINNIE ONYANDO WAZIRI wa Usalama wa Ndani, Fred Matiang’i amewahimiza maafisa wa polisi ku – jiunga...
[ad_1] Makueni sasa kielelezo cha kaunti zenye huduma bora JAMES MURIMI NA PIUS MAUNDU BAADHI ya kaunti zimeweka mipango thabiti ya kuhakikisha wakazi wanapata huduma za...
[ad_1] ICC: Shahidi apandwa na hasira akidaiwa si mwaminifu NA VALENTINE OBARA SHAHIDI wa kwanza wa upande wa mashtaka kwa Mahakama ya Kitaifa ya Uhalifu (ICC)...
[ad_1] Itumbi aomba mahakama kuu isitishe kesi ya vitisho dhidi ya DP Ruto Na RICHARD MUNGUTI MWANAHARAKATI wa Chama cha Kisiasa cha United Democratic Alliance (UDA)...