[ad_1] Wanjigi atisha kuzima ndoto ya Raila kuingia Ikulu Na CHARLES WASONGA MIKIMBIO ya kisiasa ya mfanyabiashara Jimi Wanjigi sasa inaonekana kuwakosesha usingizi vigogo wa ODM...
[ad_1] Chama cha Jubilee chaanza kampeni kali ya kuvumisha Azimio La Umoja Na LAWRENCE ONGARO CHAMA cha Jubilee kimeanza kuvumisha Azimio La Umoja eneo la Gatundu...
[ad_1] Uhaba wa ngano wanukia wakulima wakisusia kilimo NA BARNABAS BII HUENDA Kenya ikakabiliwa na uhaba wa ngano huku wakulima zaidi wakitishia kuacha kilimo cha zao...
[ad_1] Benki Kuu yapanga kupunguza ada za kutuma pesa NA BRIAN AMBANI WANANCHI watapata afueni kutokana na hatua ya Benki Kuu ya Kenya (CBK) kupendekeza kupunguza...
[ad_1] Kenya Kwanza haituwezi, Uhuru aambia wafuasi NA BENSON MATHEKA RAIS Uhuru Kenyatta ame – hakikishia wafuasi wake kwamba muungano wa Azimio La Umoja uko na...
[ad_1] Seneti kuhoji Yatani kuhusu kuchelewa kwa pesa za kaunti NA GEORGE MUNENE WAZIRI wa Fedha Ukur Yatani anatarajiwa kufika mbele ya Seneti kutokana na kucheleweshwa...
[ad_1] Mawaziri wapigia Raila debe uchaguzi ukinukia CHARLES WASONGA NA BENSON MATHEKA MAWAZIRI wa Serikali waliosalia baada ya wenzao kujiuzulu kuingia siasa sasa wameanzisha kampeni kali...
[ad_1] Zani ajitosa katika ugavana wa Kwale NA SIAGO CECE KINYANG’ANYIRO cha wadhifa wa ugavana kimeshika kasi baada ya Seneta Maalum, Bi Agnes Zani kutangaza azma...
[ad_1] DOUGLAS MUTUA: Jumuiya ya Afrika Mashariki iimarishwe kuzima uhalifu NA DOUGLAS MUTUA KADIRI Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) inavyozidi kupanuka ndivyo ninavyotambua manufaa yake. Mathalan,...
[ad_1] Kiswahili sasa kufundishwa nchini Ethiopia NA MASHIRIKA KISWAHILI sasa kitaanza kufunzwa nchini Ethiopia siku chache baada ya lugha hiyo kuidhinishwa kutumika kuendesha shughuli rasmi za...