[ad_1] Pwani yawapa Raila na Ruto masharti makali Na BRIAN OCHARO BAADHI ya viongozi wa kisiasa na wataalamu kutoka Pwani sasa wanawataka wakazi kuunga mkono wagombeaji...
[ad_1] Vitabu vinavyotolewa na wanasiasa si vya CBC, wizara yaonya Na ALEX KALAMA Idara ya Elimu Kaunti ya Kilifi imewaonya walimu wakuu Kaloleni kuhusiana na kudanganywa...
[ad_1] Wenye ardhi waitwa serikali ikipanua barabara ya Nyali-Malindi Na WINNIE ATIENO SERIKALI imeanza harakati za kupanua barabara inayoanzia Nyali, Kaunti ya Mombasa hadi Kaunti ya...
[ad_1] Hofu ya wakazi kubomolewa nyumba yatanda barabara ikiwekwa lami NA SIAGO CECE Wakazi wa Kwale sasa wanahofia kubomolewa nyumba zao huku serikali, kupitia mamalaka ya...
[ad_1] Shule zakandamiza wazazi kwa kuwatoza ada za ziada zisizofaa Na FAITH NYAMAI SHULE kadhaa zimeendelea kupuuza masharti ya Wizara ya Elimu kuhusu karo na kuongeza...
[ad_1] Wachina 8 taabani kwa kufanya kazi bila vyeti vya serikali Na RICHARD MUNGUTI RAIA wanane kutoka Uchina Ijumaa walitozwa faini ya Sh400,000 kwa kufanya kazi...
[ad_1] TUSIJE TUKASAHAU: Kumbe ahadi ya Uhuru kustawisha uchukuzi wa majini ilikuwa hewa tu! NA CHARLES WASONGA MNAMO Novemba 16, 2018 Rais Uhuru Kenyatta alielezea jinsi...
[ad_1] Uhusiano wa Ruto, Yebei waibuka ICC NA VALENTINE OBARA KESI inayomwandama wakili Paul Gicheru katika Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC), huenda ikafichua mengi kuhusu...
[ad_1] ODM sasa yapiga UDA chenga Kilifi NA MAUREEN ONGALA CHAMA cha ODM kimeongeza matumaini ya kudhibiti ngome yake katika Kaunti ya Kilifi, baada ya wanasiasa...
[ad_1] WANDERI KAMAU: Karibu Kenya, taifa la giza Na WANDERI KAMAU IKIWA kitoto kichanga kilichozaliwa Kenya kingeulizwa matatizo ya mwanzo kilichokumbana nayo katika siku zake za...