[ad_1] AKILIMALI: Himizo haki za mifugo ziheshimiwe Na SAMMY WAWERU SHIRIKA la kutetea haki za wanyama duniani limekuwa likiibua mdahalo jinsi wanyama hasa wa nyumbani wanavyofugwa....
[ad_1] MITAMBO: Chombo chapiga jeki ukaushaji mazao Na RICHARD MAOSI KWA miaka mingi mazao yamekuwa yakikaushwa kwa kuanikwa juani. Lakini kadri miaka inavyosonga, mbinu tofauti na...
[ad_1] Wakulima wahimizwa wasivune makadamia kabla hayajakomaa Na LEONARD ONYANGO WAKULIMA wametakiwa wasivune mazao yao ya makadamia kabla ya hayajakomaa. Madalali wamekuwa wakinunua mazao hayo ambayo...
[ad_1] AFCON: Guinea-Bissau wapoteza penalti na kuambulia sare tasa dhidi ya Sudan Na MASHIRIKA GUINEA-BISSAU walipoteza penalti muhimu katika mchuano wa Kundi D uliowakutanisha na Sudan...
[ad_1] CECIL ODONGO: Raila asiruhusu Azimio la Umoja limeze chama cha ODM Na CECIL ODONGO HUKU kampeni za uchaguzi wa Agosti 9, 2022 zikiendelea kushika kasi,...
[ad_1] Ecowas yawashinikiza wanajeshi nchini Mali Na KEMO CHAM BAMAKO, MALI JUMUIYA ya Kiuchumi ya Mataifa ya Afrika Magharibi (ECOWAS) imetangaza vikwazo vikali dhidi ya Mali,...
[ad_1] Familia kortini kupinga hatua ya kuwahamisha Na MARY WAMBUI FAMILIA zaidi ya 2,500 katika eneo la Mutomo, Gatundu Kusini, Kaunti ya Kiambu, zimepinga mpango wa...
[ad_1] Alice Ng’ang’a aongoza maandamano makali kulaani matamshi ya Gakuyo Na LAWRENCE ONGARO SIASA za eneobunge la Thika zimeanza kushika kasi huku mahasimu wawili Alice Ng’ang’a...
[ad_1] Nigeria wazamisha Misri katika mechi ya Kundi D kwenye AFCON Na MASHIRIKA BAO la Kelechi Iheanacho lilisaidia Super Eagles ya Nigeria kupokeza Misri ambao ni...
[ad_1] Okutoyi aanza mazoezi nchini Australia baada ya vipimo kuondoa shaka ya Covid-19 Na GEOFFREY ANENE NYOTA Angella Okutoyi amefanya mazoezi yake ya kwanza Jumanne mjini...