[ad_1] NMS haijamaliza miradi ikisalia miezi 3 pekee Na COLLINS OMULO MIEZI mitatu tu imesalia kabla ya muda wa uwepo wa Halmashauri ya Kusimamia Jiji (NMS)...
[ad_1] Atwoli, Oparanya wakagua Bukhungu matayarisho ya mkutano mkubwa wa kijamii yakikamilika Na SHABAN MAKOKHA MIPANGO ya kumtawaza Gavana wa Kakamega Wycliffe Oparanya kama Msemaji wa...
[ad_1] Lusaka awarai wanasiasa Waluhya wasibuni vyama vingine Na BRIAN OJAMAA SPIKA wa Bunge la Seneti Ken Lusaka ametoa wito kwa wanasiasa wa jamii ya Mulembe...
[ad_1] Ujenzi wa barabara, makazi waimarisha sura ya Mukuru Na SAMMY KIMATU MAELFU ya wakazi katika mitaa ya mabanda ya Mukuru iliyoko katika Kaunti ya Nairobi...
[ad_1] Ukitaka kuvuna vinono kutokana na ufugaji wa ndege, tambua mahitaji ya soko Na SAMMY WAWERU MRADI wa ufugaji wa ndege wa umaridadi anaoendeleza Peter Kimani...
[ad_1] Omicron: Safari 6,000 za ndege zafutiliwa mbali Na MASHIRIKA WASHINGTON, DC, AMERIKA ZAIDI ya safari 6,000 za ndege zimefutiliwa mbali kote duniani tangu siku ya...
[ad_1] Aussems asema Leopards haitatoboa msimu huu Na CECIL ODONGO MKUFUNZI wa AFC Leopards Patrick Aussems amewakorofisha nyongo mashabiki wa timu hiyo baada ya kusema wazi...
[ad_1] MWALIMU WA WIKI: Mwalimu, mshairi na mlezi wa vipaji Na CHRIS ADUNGO KUFAULU kwa mwanafunzi yeyote hutegemea pakubwa mtazamo wa mwalimu wake. Mwalimu hana budi...
[ad_1] WANTO WARUI: Walimu wana kibarua kuandaa watahiniwa kwa mitihani mitano ya kitaifa 2022 Na WANTO WARUI WALIMU wana kibarua kigumu sana cha kuwatayarisha wanafunzi kufanya...
[ad_1] Mwili wa mwanamume wapatikana ukining’inia nyumbani South B Na SAMMY KIMATU MAAFISA wa polisi katika eneo la Makadara wanachunguza kisa ambapo mwili wa mwanamume ulipatikana...