[ad_1] Chanjo ya kuzuia corona yaharibika Na ANGELA OKETCH CHANJO za kuzuia corona zinaharibika katika baadhi ya sehemu nchini kwa sababu idadi ndogo ya watu wanaojitokeza...
[ad_1] Wahadhiri, wahudumu wa vyuo vikuu vya umma watishia kugoma Na FAITH NYAMAI WAHADHIRI na wafanyakazi wa vyuo vikuu vya umma wametishia kulemaza masomo katika taasisi...
[ad_1] Mtaa kwenye mpaka hata polisi waogopa! Na BENSON AMADALA MTAA wa Sofia katika Kaunti ya Busia kwenye mpaka wa Kenya-Uganda ambao unaogopwa hata na polisi,...
[ad_1] PAA kuhudhuria mkutano wa Raila Kasarani Na CHARLES WASONGA CHAMA cha Pan African Alliance (PAA), kinachoongozwa na Gavana wa Kilifi Amason Kingi, kimethibitisha kuwa wawakilishi...
[ad_1] TAHARIRI: Dereva, abiria washirikiane kuzuia ajali msimu huu KITENGO cha UHARIRI MKASA wa basi kuzama na kusababisha vifo vya zaidi ya watu 23 katika mto...
[ad_1] Sababu za Rais ‘kuhepa’ mkutano wa Raila- Wadadisi Na CHARLES WASONGA HATUA ya Rais Uhuru Kenyatta kutohudhuria mkutano wa leo ambapo kiongozi wa ODM Raila...
[ad_1] Azimio la Umoja kumeza Jubilee, ODM Na LEONARD ONYANGO VYAMA vya ODM na Jubilee vinatarajiwa kumezwa na muungano wa Azimio la Umoja wake Bw Raila...
[ad_1] Mvurya aeleza sababu za kuunga naibu wake Na WINNIE ATIENO GAVANA wa Kaunti ya Kwale, Bw Salim Mvurya, amesimama kidete kumuunga mkono naibu wake, Bi...
[ad_1] Wapiganaji wapora chakula cha msaada Na MASHIRIKA SHIRIKA la Chakula Duniani (WFP) limesimamisha usambazaji wa misaada ya chakula katika miji miwili kaskazini mwa Ethiopia, baada...
[ad_1] Ufisadi: EACC yataka KPA ichukuliwe hatua Na VALENTINE OBARA TUME ya Maadili na Kupambana na Ufisadi (EACC), bado inasubiri uamuzi wa Idara ya Mashtaka ya...