[ad_1] WANDERI KAMAU: Ili kufikia hadhi iliyotwikwa, Nakuru iyaige majiji tajika duniani Na WANDERI KAMAU HATUA ya Rais Uhuru Kenyatta kuupandisha hadhi mji wa Nakuru kuwa...
[ad_1] Wakazi wa Kiambu wahimizwa kuendea chanjo ya corona Na LAWRENCE ONGARO WAKAZI wa Kaunti ya Kiambu wamehimizwa kujitokeza kwa wingi ili waendelee kuchanjwa dhidi ya...
[ad_1] Omanyala sasa ni Inspekta wa Polisi, atawakilisha idara hiyo kwenye riadha Na AYUMBA AYODI MSHIKILIZI wa rekodi ya Afrika mbio za mita 100, Ferdinand Omanyala...
[ad_1] Korti yapatia serikali kibali kutwaa jumba la aliyeuawa Na RICHARD MUNGUTI SERIKALI imetwaa jumba lililojengwa kwa fedha za kundi la wapiganaji wa al-Shabaab jijini Nairobi....
[ad_1] EACC yammulika gavana wa Lamu Na LEONARD ONYANGO TUME ya Maadili na Kukabiliana na Ufisadi (EACC) imependekeza kushtakiwa kwa Gavana Fahim Twaha wa Lamu, kwa...
[ad_1] Wataka suti tu! ONYANGO K’ONYANGO NA LEONARD ONYANGO WANASIASA wakuu wanaomezea mate urais mwaka ujao wamesisitiza kuwa sharti walio katika mirengo yao wawanie viti tofauti...
[ad_1] Michael Carrick aondoka Man-United baada ya kusimamia klabu hiyo katika mechi tatu bila kupoteza Na MASHIRIKA MICHAEL Carrick ameondoka kambini mwa Manchester United baada ya...
[ad_1] Corona yafagia asilimia 35 ya biashara ndogo Na PETER MBURU MAKALI ya janga la Covid-19 yalilemaza pakubwa uchumi wa biashara ndogondogo nchini, ambapo asilimia 35...
[ad_1] Ajipata kizimbani kwa madai ya kuiba nakala mbili za Biblia Na RICHARD MUNGUTI KIBARUA aliyeiba nakala mbili za Biblia kutoka dukakuu asome aimarishe maisha yake...
[ad_1] Mzee aenda kortini kudai pesa kutoka kwa mwanawe Na GERALD BWISA MZEE wa umri wa miaka 73 katika Kaunti ya Trans Nzoia ameitaka mahakama kushinikiza...