[ad_1] Shujaa mawindoni kulipiza kisasi Dubai 7s msimu mpya ukianza leo Na GEOFFREY ANENE Shujaa itaanza msimu wake wa 20 kwenye Raga za Dunia za wachezaji...
[ad_1] MESPT inavyojituma kupiga jeki sekta ya kilimo nchini na kusaidia kubuni nafasi zaidi za ajira Na SAMMY WAWERU ZAIDI ya wakulima 40, 000 wanaendelea kunufaika...
[ad_1] Athari za janga la Covid-19 lilisukuma wengi katika sekta ya kilimobiashara Na SAMMY WAWERU WENGI wa walioathirika kufuatia mkurupuko wa janga la Covid-19 nchini waliingilia...
[ad_1] Mwatate FC yajipanga kupanda ngazi ligi kuu ya FKF licha ya kuaibishwa na Fortune Na ABDULRAHMAN SHERIFF MBALI na Mwatate United FC ya Kaunti ya...
[ad_1] Watavuruga hesabu za Raila, Ruto? Na LEONARD ONYANGO MUUNGANO wa viongozi wa Vuguvugu la Umoja wa Mlima Kenya (MKUF) na vinara wa One Kenya Alliance...
[ad_1] Raila kushiriki NDC ya Wiper Na JUSTUS OCHIENG KIONGOZI wa chama cha ODM Raila Odinga, leo anatarajiwa kuhudhuria kongamano la kitaifa la wajumbe wa chama...
[ad_1] Wahanga wa ghasia za 2007 wafidiwe kabla ya Uhuru kutoka mamlakani Na CHARLES WASONGA HUKU Rais Uhuru Kenyatta akikamilisha muhula wake wa mwisho asije akasahau...
[ad_1] Covid: Sakata ya uuzaji wa vyeti yaibuka Na AMINA WAKO MAAFISA walaghai katika Wizara ya Afya (MoH) wanauza vyeti vya chanjo ya Covid-19 kwa Sh1,000....
[ad_1] Malawi yamsihi Mike Tyson awe balozi wake wa bangi Na MASHIRIKA SERIKALI ya Malawi imemwandikia barua bingwa wa zamani wa ndondi Mike Tyson, 54, ikimsihi...
[ad_1] Corona: Watu 700,000 kufariki Ulaya katika miezi minne ijayo Na AFP SHIRIKA la Afya Duniani (WHO) limeonya kuwa watu 700,000 huenda wakaaga dunia kutokana na...